Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?
kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya online inayoweza kurahisisha
zaidi kuhusu ili swala coz nimeipata moja inaitwa jigambeads inapatikana mitandaoni.
<br />Agala,Timo,Proffee Essoree ACHA UTOTO.
umeuliza swali na kujijibu..................tunafahamu unatangaza website yenu ni kweli lakini sio unakuja kitoto hvoKwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?
kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya online inayoweza kurahisisha
zaidi kuhusu ili swala coz nimeipata moja inaitwa jigambeads inapatikana mitandaoni.
Agala,Timo,Proffee Essoree ACHA UTOTO.
wote hawa lao moja, wanataka kuongeza traffic kwenye website yao.
inawezekana wako kikazi zaidi hawa.