Nahitaji Mashine Ya Maxmalipo Au Selcom Arusha

Nahitaji Mashine Ya Maxmalipo Au Selcom Arusha

mzungu jw

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
290
Reaction score
33
Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha
 
Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha

Me ninayo machine ya maxi malipo nipigie namba 0719-808849 na pia nauza line ya uwakala ya Mpesa
 
Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
 
Kuna mwakilishi wa Maxmalipo arusha anapatikana ofisi ya vodacom hii inayopakana na zantel au sanya 4 bureau opposite na twiga bank bara bara ya uhuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom