Ya umeme au ya kusukuma kwa mota au ya mkono... Kama za kutumia mafuta na mkono sido wanazo ndugu ila kama za umeme kuna jamaa yangu huwa ana ziuza sema bei zake nazo zimechangamka kweli