Nahitaji marafiki

Nz1

Member
Joined
Apr 10, 2016
Posts
5
Reaction score
1
Holla,Mambos?
Naitwa Sean, miaka 30, mfanyakazi(muajiriwa). Napenda kusafiri, kuogelea, muziki, kuwa na furaha na vingine vingi(vizuri). Kama unapenda kuwa rafiki, kubadikishana uzoefu na vingine vingi(vizuri) tafadhali drope me an sms. 0712223881. Asante.
 
We ni jinsia gan labda ili mazungumzo yetu yawe sawa
 
Kwani mtaani kwako au unakofanyia shughuli hamna watu mbaka uje kutafuta humu marafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…