Umuzukuru JF-Expert Member Joined May 30, 2019 Posts 624 Reaction score 561 Apr 1, 2025 #1 Habari ndugu Wana jf Kama kichwa Cha habari kinavyojinasibu,ni muda sasa wa kuwa na management ili kuweza Kupiga hata nyingine mbele Reference View: https://youtu.be/VK7hmI2f0nM?si=llacND976UlR3kLR Natanguliza hongera
Habari ndugu Wana jf Kama kichwa Cha habari kinavyojinasibu,ni muda sasa wa kuwa na management ili kuweza Kupiga hata nyingine mbele Reference View: https://youtu.be/VK7hmI2f0nM?si=llacND976UlR3kLR Natanguliza hongera
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,744 Reaction score 118,697 Apr 1, 2025 #2 Natamani kuwa Meneja wako, ila sina bundle la kuangalia hii video yako. Je, unaweza ukaniwekea maneno machache ili nifahamu inataka nini?
Natamani kuwa Meneja wako, ila sina bundle la kuangalia hii video yako. Je, unaweza ukaniwekea maneno machache ili nifahamu inataka nini?
Umuzukuru JF-Expert Member Joined May 30, 2019 Posts 624 Reaction score 561 Apr 4, 2025 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Natamani kuwa Meneja wako, ila sina bundle la kuangalia hii video yako. Je, unaweza ukaniwekea maneno machache ili nifahamu inataka nini? Click to expand... Ni music mkuu unataka niweke lyrics sio?
Tate Mkuu said: Natamani kuwa Meneja wako, ila sina bundle la kuangalia hii video yako. Je, unaweza ukaniwekea maneno machache ili nifahamu inataka nini? Click to expand... Ni music mkuu unataka niweke lyrics sio?
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,257 Reaction score 22,048 Apr 4, 2025 #4 Nikiwa meneja wako utakuwa unanilipa shilingi ngapi ? Naweza kuwa meneja maana najuana na tusanii twote twa hii bongo
Nikiwa meneja wako utakuwa unanilipa shilingi ngapi ? Naweza kuwa meneja maana najuana na tusanii twote twa hii bongo
Umuzukuru JF-Expert Member Joined May 30, 2019 Posts 624 Reaction score 561 Apr 4, 2025 Thread starter #5 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nikiwa meneja wako utakuwa unanilipa shilingi ngapi ? Naweza kuwa meneja maana najuana na tusanii twote twa hii bongo Click to expand... Dau mezani
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Nikiwa meneja wako utakuwa unanilipa shilingi ngapi ? Naweza kuwa meneja maana najuana na tusanii twote twa hii bongo Click to expand... Dau mezani