Dr.adams faida JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,918 Reaction score 3,466 Sep 29, 2016 #1 NImejipanga kuanzisha mwalo kwa ajili wa wachimbaji wadogowadogo wa madini ya dhahabu kwa sasa naitaji msaada wa madini ya mercury tu. Aliye na mzigo huo anipm tufanye biashara,
NImejipanga kuanzisha mwalo kwa ajili wa wachimbaji wadogowadogo wa madini ya dhahabu kwa sasa naitaji msaada wa madini ya mercury tu. Aliye na mzigo huo anipm tufanye biashara,
timetoloveyourself JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 206 Reaction score 206 Sep 29, 2016 #2 Uko wapi? Kuna mdau alinambia Kahama inapatikana kwa laki Sita kilo moja
Dr.adams faida JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,918 Reaction score 3,466 Sep 29, 2016 Thread starter #3 timetoloveyourself said: Uko wapi? Kuna mdau alinambia Kahama inapatikana kwa laki Sita kilo moja Click to expand... Mkuu nami npo kahama kwasasa npe mawasiliano nmcheki na project yenyewe naifanyia apa kahama
timetoloveyourself said: Uko wapi? Kuna mdau alinambia Kahama inapatikana kwa laki Sita kilo moja Click to expand... Mkuu nami npo kahama kwasasa npe mawasiliano nmcheki na project yenyewe naifanyia apa kahama
timetoloveyourself JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 206 Reaction score 206 Sep 29, 2016 #4 Dr.adams faida said: Mkuu nami npo kahama kwasasa npe mawasiliano nmcheki na project yenyewe naifanyia apa kahama Click to expand... Sorry Sio kilo ni chupa ya soda Nimempigia kumuuliza hapa. Sawa nicheki pm nikupe mawasiliano yake.
Dr.adams faida said: Mkuu nami npo kahama kwasasa npe mawasiliano nmcheki na project yenyewe naifanyia apa kahama Click to expand... Sorry Sio kilo ni chupa ya soda Nimempigia kumuuliza hapa. Sawa nicheki pm nikupe mawasiliano yake.