N nainai1 Member Joined Nov 30, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Mar 11, 2015 #1 Habari, Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari kuyafuata popote Tanzania.
Habari, Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari kuyafuata popote Tanzania.