Nahitaji logo za kudarizi/nyuzi

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,429
Reaction score
27,132
Habar wadau ,
Naomba kujua wapi nitaweza kupata huduma ya kudarizi/kutengeneza logo , ila sitaki za kuprint kwa rangi..
Na Pia naomba kujua gharama za kuprint logo 1 kwa shati
NB: nahitaji msaada jamani hayo ya arsenal hapo chini tuyaache nimeweka kama mfano tu wa hio logo ninayohitaji iweje
 
mm nadarizi logo ila sasa logo yako ina colour ngapi nikupe charge yake na unaweka kaitika mashati mangapi idadi ya mashati yako unaweza kuniPM mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…