SHAMAC JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 1,340 Reaction score 3,565 Sep 11, 2017 #1 Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an image of her. Awepo ndege aina ya eagle. Awepo mnyama aina ya simba. Iwe na masuke ya ngano Iwe na alama / symbol ya land ( ardhi). Jina / Brand name ntakutumia inbox baada ya makubaliano. Rangi ya dhahabu itawale hiyo logo. Kuhusu Kampuni inahusika na nini tutaongea vizuri inbox. Mwisho kabisa nahitaji hiyo logo ikiwa katika softcopy iwe ni (GIF). NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea. KARIBUNI SANA CREATORS.
Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an image of her. Awepo ndege aina ya eagle. Awepo mnyama aina ya simba. Iwe na masuke ya ngano Iwe na alama / symbol ya land ( ardhi). Jina / Brand name ntakutumia inbox baada ya makubaliano. Rangi ya dhahabu itawale hiyo logo. Kuhusu Kampuni inahusika na nini tutaongea vizuri inbox. Mwisho kabisa nahitaji hiyo logo ikiwa katika softcopy iwe ni (GIF). NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea. KARIBUNI SANA CREATORS.
Leylah1 Member Joined Aug 8, 2017 Posts 13 Reaction score 26 Sep 11, 2017 #2 w SHAMAC said: Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an image of her. Awepo ndege aina ya eagle. View attachment 586015 Awepo mnyama aina ya simba. View attachment 586017 Iwe na masuke ya ngano View attachment 586021 Iwe na alama / symbol ya land ( ardhi). View attachment 586022 Jina / Brand name ntakutumia inbox baada ya makubaliano. Rangi ya dhahabu itawale hiyo logo. Kuhusu Kampuni inahusika na nini tutaongea vizuri inbox. Mwisho kabisa nahitaji hiyo logo ikiwa katika softcopy iwe ni (GIF). NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea. KARIBUNI SANA CREATORS. Click to expand... nicheki inbox
w SHAMAC said: Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo. Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed ) Iwe na sarafu ya fedha. Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an image of her. Awepo ndege aina ya eagle. View attachment 586015 Awepo mnyama aina ya simba. View attachment 586017 Iwe na masuke ya ngano View attachment 586021 Iwe na alama / symbol ya land ( ardhi). View attachment 586022 Jina / Brand name ntakutumia inbox baada ya makubaliano. Rangi ya dhahabu itawale hiyo logo. Kuhusu Kampuni inahusika na nini tutaongea vizuri inbox. Mwisho kabisa nahitaji hiyo logo ikiwa katika softcopy iwe ni (GIF). NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea. KARIBUNI SANA CREATORS. Click to expand... nicheki inbox