Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 276
Huna ya Halotell au airtell tuwasilianeNinayo, nicheck
0714 846125
Nipe namba ya airtell au Halotell tuwasiliane mkuuNinayo mzee, line zote mbili, ya kazi na control. Bei laki 1 tu.
Mkuu uko wapi tufanye biashara fastaNinayo mzee, line zote mbili, ya kazi na control. Bei laki 1 tu.
Niko na voda tu. Upo wapi wewe, maana distance inaweza kuwa kikwazo kwa biashara kufanyikaNipe namba ya airtell au Halotell tuwasiliane mkuu
Niko manyara kaka tunafanyaje sasaNapatikana tabora aisee
Tabora sehemu gani kama igunga niambieNapatikana tabora aisee
Sina mkuu, tuma hata smsHuna ya Halotell au airtell tuwasiliane
Duuuu aisee Mbona inakuwa ngumu kma ni vijijiniHapana niko uyui, tabora vijijini. Ndani sana, km unaenda sikonge
Mchezo utakuwa umeisha kvp kaka nielezee vizuri kdogoNakushauri nunua laini ya uwakala wa mpesa au airtel money kwa wakala mkuu aliye karibu yako utakuja kupata shida ya kimtandao alafu utaambiwa wakala wako mkuu yupo kigoma na ww upo lindi na mchezo utakuwa umeishia hapo yan nina uzoefu wa 9yrs kwa industry hii uliza chochote. Ntakujibu 0764616353