Nahitaji LED TV 2

Kiberenge

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
1,104
Reaction score
1,035
Kama kichwa vha habari kinavyojieleza... Nahitaji tv mbili ziwe LED inch 32 itapendeza ikiwa za second hand na kila moja nakupa 320,000.... Biashara leo leo.....

Location DSM

0768080549 kwa mawasiliano
 
kuna ambao wana tangazo Lao huku sijui ni watu wa zenji na kuna lingine la mtu wa kariako Tafuta huo uzi
 
Na mm nataka
Kuna jamaa alikuwa anataka kuniuzia Lg hd zile zenye king'amuzi ndani alisema yuko tmk ila nilipata samsung maana mimi nilikuwa ninahitaji samsung kwakuwa tv niliyokuwa nayo awali ni lg so nilitaka badiri brand. Alisema anauza 400 so mnaweza kuzungumza kama atakuwa 0713 358 495 hajauza namba ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…