Nahitaji lathe machine

Mechatronics

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
35
Reaction score
27
Mwenye kuuza au kujua wanapouza lathe machine kwa asiye ifahamu ni kama hiyo apo chini kwenye picha, naomba tuwasiliane hela ipo.
 
Zipo za aina nyingi wewe unataka ya kufanyia nin, taja na specification
 
Hiyo ni limited sana na ni fupi.....siku hizi kuna mitambo ya hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…