Nahitaji LAPTOP..

Nahitaji LAPTOP..

DINHO

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
884
Reaction score
1,761
Habari zenu waungwana.. kama mwanajamvi ninahitaji LAPTOP yenye hali nzuri.. maana Dukani sina uwezo wa kutoa hizo laki 5,6 nk.. Hivyo mwenye nayo tufanye biashara..
 
Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
 
Kaka hapo utapata laptop uenye hali mbaya kama huna huna hyo lak 5 ukapata laptop mpya unataka ya mtaan
Ipo fujistu ipo kwenye hali nzuri tu bei lak2 jamaa amefukuzwa ada ya chuo kwahy anauza kwa bei hiyo ili arudi chuo
 
Tuma picha hapa...
 
Huyu anazo HP mpyaaa kabisa yn zimetoka nje juzi tu mtafute 0657016871
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom