Hard disc 320gb +
Ram 2gb
Dual core 1.8 +
Battery at least 3hrs hata km si ya dukani kwa laki nne
ongeza laki na ishirini iwe jumla 520,000 upate
Samsung
4gb ram
hard disk 500gb
processor 2.4ghz core i3
window 8 installed
warranty niliyonunulia nakupa 1 year coz
ina mwezi mmoja tuu
ni pm au njoo ardhi university tufanye biashara
ni hayo tuu
Ninaongeza hamsini
Iyo naona imenishnda Nina mwisho 450000
Toshiba notebook
320 GB HDD
2.3GHZ PROCESSOR
16" DISPLAY
2GB OF RAM
Bettery life 3 hours.
faults..ina faults kidogo kwenyeplastic case yake.. Ila inafunction vyema sana.
napatikana dar es salaam.
bei 350,000 tanzanian shiling
0652329818
2.3ghz ni dual-core?
Naitaji laptop nina laki NNE Tsh.400000 mwenye kua nayo ani pm
Mkuu chukua 5 kamili.lkn weka pichaongeza laki na ishirini iwe jumla 520,000 upate
Samsung
4gb ram
hard disk 500gb
processor 2.4ghz core i3
window 8 installed
warranty niliyonunulia nakupa 1 year coz
ina mwezi mmoja tuu
ni pm au njoo ardhi university tufanye biashara
ni hayo tuu
Ipo katika mzigo wa mara hii laptop ya 400,000/= ni hp elitebook 6930p
320Gb
2ram
Duo core
Call 0779420000
15pcs remaining
350k mkuu nipm
Mkuu chukua 5 kamili.lkn weka picha