Nahitaji Laptop mpya

Nahitaji Laptop mpya

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,795
Reaction score
6,442
Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi
Processor kuanzia 2.0
Hdd kuanzia 500GB na kuendelea
Ram kuanzia 2GB na kuendelea
Uwezo mzuri wa kutunza charge.
White au milk coloured itakuwa nzuri zaidi.
Bajeti yangu ni 500,000(haiongezeki nimeikurupua kwenye boom)
Naombeni kama kuna mwenye anayo imemeet hivyo vigezo au anajua wapi naweza kupata,au hata aina za pc zinazokidhi hapo anijuze nianze kutafuta..Ninatanguliza shukurani.
 
Ongeza tena 100000/=
angalau kaka,
ila kuwa makini sana na Laptop za cku hz mana,
nying sana hz zenye plastic lain lain, zinawah kufa speaker, lakn charge zina2nza sana!
PIA
Usinunue laptop aina ya peke yako, 2 yaan wachache sana ndo wanayo,
itaku cost kwenye some problem utakosa msaada,
lakin PIA ungekuwa na nia nayo kwa masomo 2,
basi hv v notebook vingekufaa, visivyo na CDROM,
Kuwa makini kjana!
 
Lete laki 4 nitakupa used moja kali sana. Kama utakubali wazo langu nitumie PM.
 
996963_554926704578653_1637454254_n.png wasiliana na hao jamaa. wanazo mashine za ukweli sana
 
Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi
Processor kuanzia 2.0
Hdd kuanzia 500GB na kuendelea
Ram kuanzia 2GB na kuendelea
Uwezo mzuri wa kutunza charge.
White au milk coloured itakuwa nzuri zaidi.
Bajeti yangu ni 500,000(haiongezeki nimeikurupua kwenye boom)
Naombeni kama kuna mwenye anayo imemeet hivyo vigezo au anajua wapi naweza kupata,au hata aina za pc zinazokidhi hapo anijuze nianze kutafuta..Ninatanguliza shukurani.

nna tatizo kama lako.. pliz mwenye mo info duka zinauzwa kwa dsm.. natanguliza shukrani
 
Unahtaji yenye 500HD,najua hapo lengo ni movies na sio shule.......be care kijana,nakumbuka,kuna wana tulivyoingia pale UDSM mwaka wa kwanza walinunua Computers za bei sana,mwisho wa siku kipindi cha miezi dume boom limekata wakauza.
 
nna tatizo kama lako.. pliz mwenye mo info duka zinauzwa kwa dsm.. natanguliza shukrani

Nenda Kisutu (zamani stendi ya mabasi) uliza Maisha Computers wanazo kibao na bei ni affordable, chaguo ni lako.

Au Nenda kwenye ukurasa wao wa Facebook utakuwa na uwezo zaidi wa kuchagua.
 
Kichwa cha uzi chahusika.Nahitaji laptop mpya kwa matumizi ya shule.Specs zake ziwe angalau hizi au zaidi
Processor kuanzia 2.0
Hdd kuanzia 500GB na kuendelea
Ram kuanzia 2GB na kuendelea
Uwezo mzuri wa kutunza charge.
White au milk coloured itakuwa nzuri zaidi.
Bajeti yangu ni 500,000(haiongezeki nimeikurupua kwenye boom)
Naombeni kama kuna mwenye anayo imemeet hivyo vigezo au anajua wapi naweza kupata,au hata aina za pc zinazokidhi hapo anijuze nianze kutafuta..Ninatanguliza shukurani.

Chukua option hizi mbili
Tembea kariakoo mtaa Uhuru jiran sana na RoundAbout
Jina la duka nimesahaw kdg
Wana machine Samsung 510,000
Spex ni kama
500 HDD
2.0 Ghz Dual
2.0 GB
Bettry inakaa masaa 4
Warranty 2 years

-all the best
 
Kuna Dell Inspiron 14R(with touch screen) imetumika kwa miezi 6 inakwenda Laki 5 warranty miezi 10.Ni PM ukiwa interested.
 
Specs ni

4GB Ram.
500GB Hard Drive.
Intel R CPU with 2.0GHz
Wifi
Webcam
Bluetooth
 
Nenda Kisutu (zamani stendi ya mabasi) uliza Maisha Computers wanazo kibao na bei ni affordable, chaguo ni lako.

Au Nenda kwenye ukurasa wao wa Facebook utakuwa na uwezo zaidi wa kuchagua.

Mkuu, nina wasiwasi sana na Ubora wa bidhaa zao kuendana na bei zao wanazoonesha. Umewaza hilo?
 
mswahili mpk umbamize libei abishebishe kupunguziwa ndo ajisikie raha. laptop siku izi sio ghali namna hiyo. sema wanaozileta huku wanawabamizaje msiojua... kweli kukosa maarifa taabu kwelikwwli
 
umenena Kingunge!!!
 
Back
Top Bottom