wakuu nahitaji laptop kwa ajili ya kucheza gaming na graphics designed mambo ya 3D
nimejaribu kuulizia dukani price yake ni kubwa na mimi nahitaji kwa haraka nilikua naomba kama kuna mtu ambae anaweza kunambia ni wapi naweza pata sehemu nzuri au mwenye nayo tuonge
Bajeti yangu ni laki 8 na nusu.
sifa za Computer ninayohitaji ni
core i5 or i7 kuanzia 4th generation 2.5GHZ
RAM 8GB
HDD 1TB
GRAPHICS CARD 2GB NVDIA 1080P OR 1050
Mwenye nayo aje PM tuyajengee