Nahitaji laini za uwakala

Nahitaji laini za uwakala

Ipo yavoda inataka 150 nanyaraka zake zipo ila ipo mkoani
 
Haha huyu jamaa hayuko seriously kbs, alafu mtu kama huyu biashara ikimuendea ovyo anazingizia kalogwa kwa majibu haha....
Wafanyabiashara wa siku hizi hao eti "usinipelekeshe "jifunze kufanya biashara ndo utafute line.
 
Back
Top Bottom