mosesfrank
Member
- Dec 20, 2016
- 40
- 12
Ingekua uko Dar, kazi ingekua rahisi sababu kariakoo pana sehemu wanauza materials, ila kwa huko mbeya sijuiNipo mkoa Mbeya wilaya ya KYELA
Sawa brother sema nime check you tube sipata kuona namna ya ukunjanji wake kama una weza kunielekeza utakua umenisaidia and naitaji kujua gundi inayo tumika apo ni ipi ile ya maji auFungu na zile za kaki wanazo zunguka nazo wateja nao wameongezeka maradufu
Brother ww unapatikana wapWanauza stationary kwa ajili ya majarada au agiza mgororo kiwandani...
Kujifunza jitupie YouTube
Ni sehemu gani brother na ina kosti kama shingapi dar sio tatizo naweza kuagizaIngekua uko Dar, kazi ingekua rahisi sababu kariakoo pana sehemu wanauza materials, ila kwa huko mbeya sijui
Nipo mbeya mjiniBrother ww unapatikana wap
Unafanya mishe za bahasha au unaweza nipa location ya kupata matilioNipo mbeya mjini
Jamaaa vipi ulifanikishwa utengenezaji wa bahasha mrUnafanya mishe za bahasha au unaweza nipa location ya kupata matilio