Hivi ni maeneo gani hapa town kuna huo mfumo?Nlijuwa kifuru kuna mfumo wa maji taka kwenye nyumba zenu huko
Kumbe bado mnatumia mashimo ya choo
Ova
Shekilango upo, changamoto ni ulijengwa kuhudumia watu elfu20 sasahivi wapo watu laki2Hivi ni maeneo gani hapa town kuna huo mfumo?
Si ule pipes zinaunganishwa nyumba kwa nyumba halafu bomba moja inabeba?
Hapa unaweza kupata msaada wa hali tu, msaada wa mali sahauBado sjapata huduma jmn naombeni mdaa wenu wa hali na mali.
Tatizo kashasema, pesa hana za kutosha kufanya hiyo kaziKama namba zote za simu ulizopewa na wadau hazijazaa matunda, basi kuna tatizo mahali.
Ila endelea kupambana
Mbna hata mbezi ya kimaraa had Malamba kuelekea Segerea.Nlijuwa kifuru kuna mfumo wa maji taka kwenye nyumba zenu huko
Kumbe bado mnatumia mashimo ya choo
Ova
Mkuu sisi wanaume tunajuana nmesema ukweli wangu ili nisaidiwe nilipokwama nisiposema nani atajua shida yangu na atanisaidiaje!? Issue ni kuwa wanaume wa leo hatuna ubinadamu hatusaidiani unaona ni bora mwanaume mwenzio ateseke ama kudhalilika nawe unafurahia hali hiyo..Tatizo kashasema, pesa hana za kutosha kufanya hiyo kazi
Hapana mkuu mafundi waliniambia tusisakafie ili maji yawe wanaenda chini kwamba ardhi iwe inanyonya maji ndio maana sijasakafia chini lakini naona kama hili ndo kosa tulifanya maana eneo hili inaonekana kama kuna chemchem au maji yapo karibu sana maana hata majirani wanalalamika mashimo kipindi hiki cha mvua yanajaa. Nn ushauri wako je naweza chimba lingine na nikalisakafia na nafanyaje yote yatumike na tatizo liwe limeisha!??Mkuu hilo shimo hukusakafia kwa ndani baada ya kulijenga?
Ooh hata mimi mwanzo sikusakafia maji yalikuwa yanajaa sana nikiwa bado sijahamia mvua ikinyesha kinakuwa kisima watu wanakuja kuchota maji ikabidi nisakafie ndiyo ikawa mwisho huu naenda mwaka wa tano toka nihamie sijawahi kuvuta.Hapana mkuu mafundi waliniambia tusisakafie ili maji yawe wanaenda chini kwamba ardhi iwe inanyonya maji ndio maana sijasakafia chini lakini naona kama hili ndo kosa tulifanya maana eneo hili inaonekana kama kuna chemchem au maji yapo karibu sana maana hata majirani wanalalamika mashimo kipindi hiki cha mvua yanajaa. Nn ushauri wako je naweza chimba lingine na nikalisakafia na nafanyaje yote yatumike na tatizo liwe limeisha!??
Asante kwa ushauri, bado sijachonya mkuu ila hali ni tete sana aisee limejaa kweli kweli hera ndo tatizo.Ooh hata mimi mwanzo sikusakafia maji yalikuwa yanajaa sana nikiwa bado sijahamia mvua ikinyesha kinakuwa kisima watu wanakuja kuchota maji ikabidi nisakafie ndiyo ikawa mwisho huu naenda mwaka wa tano toka nihamie sijawahi kuvuta.
Kwa hapo labda uchimbe lingine tena uwe nayo mawili
Ulifanikiwa kunyonya mkuu?