Nahitaji kununua noah

Nahitaji kununua noah

Fafanua vizuri unataka noah mzima au nyama yake?
Ila siku hizi noah ndio inaongozwa kwa kupendwa kuliko nyama nyingine yeyote ile, si mjini wala kijijini.
 
Mimi ninayo, Rangi ni nyeusi, Engine ni cs ya mwaka 2000 nipigie simu no. 0754 568 593 au 0655 568 593
 
noa gari au mnyama? Naweza kukutafutia kwa 250,000 kwa kila mmoja
 
Mm ninayo nyeupe au unataka rangi gani? kwa M.7 .huwezi pata utauziwa mtori badala ya nyama gari nzuri used ni kuanzia m9.
 
mi nakushauri hiyo ml.7 fanyia kazi nyingine,Noah ni zaidi ya majeneza!
 
uwasalimie kuzimu mana najua noah fasta tu ajal moja kupona negative
 
Noah zinavyochinja hvyo??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom