W WAPOMA JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 689 Reaction score 175 Nov 28, 2013 #1 Nahitaji kujua namna ya kununua gari probox,nipo dar, je show room gani nitapata na bei gani,Zanzibar napo vipi na Ndugu yangu kanambia niagize japan je kampuni gani nzuri na urahisi na faida gani kwa kuagiza huko!? . Plz assist.
Nahitaji kujua namna ya kununua gari probox,nipo dar, je show room gani nitapata na bei gani,Zanzibar napo vipi na Ndugu yangu kanambia niagize japan je kampuni gani nzuri na urahisi na faida gani kwa kuagiza huko!? . Plz assist.
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,311 Mar 21, 2016 #2 Habari yako, Kama bado hujapata ama unahitaji nyingine, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa magari imara na bora kwa bei poa kabisa. Waweza ni "pm" ama waweza kuniandikia barua pepe kupitia ecarstanzania@gmail.com Karibu!
Habari yako, Kama bado hujapata ama unahitaji nyingine, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa magari imara na bora kwa bei poa kabisa. Waweza ni "pm" ama waweza kuniandikia barua pepe kupitia ecarstanzania@gmail.com Karibu!