Acha utoto na upuuzi! umekojoa midude yako ndiyo unagundua humtaki. stupid!
Punguza mawasiliano nae taratibu taratibu kwa kigezo chakuwa upo busy au simu ilkuwa mbali na wewe ukashindwa kupokea n.k..
ucwe unakurupuka ww! Tbh. Sijafanya nae chochote kile
nishafanya ivo lakin amekua analalamika sana ndugu
Mijanaume mingine p......vu sana
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE
Ulimtongoza wa nn km unajua huna mpango nae?
Yaani wanaume wengine bana cjui mtabadirika lini!do u knw that unacheza na hisia za mtu?
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE
Acha kuwa na akili za kitoto au tafuta jukwaa la wenzako.Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE