kidu27 Member Joined Dec 27, 2015 Posts 21 Reaction score 0 Sep 16, 2016 #1 Kwa mfugaji wa kuku wa kienyeji aliyepo songea mjini nahitaji kununua tetea 80 na jogoo 8 kwa ajili ya kuwafuga, kama unao tafadhali wasiliana nami tufanye biashara hata kama unao chini ya hao tuwasiliane kwa pm.
Kwa mfugaji wa kuku wa kienyeji aliyepo songea mjini nahitaji kununua tetea 80 na jogoo 8 kwa ajili ya kuwafuga, kama unao tafadhali wasiliana nami tufanye biashara hata kama unao chini ya hao tuwasiliane kwa pm.