Wakuu,
Kwa yeyote anayefanya biashara au anayemfahamu mtu anayefanya biashara ya kukodisha magari ya maharusi, naomba tufanye mawasiliano ili niweze kukodi gari aina ya Noah kwa ajili ya maids. Mambo mengine tutaongea tutakapounganishana, kwa sasa mwenye huduma hiyo naomba tuwasiliane kwenye PM.
Asanteni