Nahitaji kujua.

Nahitaji kujua.

calvinminja

Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
25
Reaction score
16
Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo.
 
Wenzio wote wanatumia anonymity labda uwe verified user.
Hilo lako limekaa kama lako halisi badili mapemaa usije fwatwa na wasiojulikana
 
Back
Top Bottom