juliano norman
Member
- Dec 17, 2015
- 41
- 4
mie ni kijana ambae mwenye umri wa miaka 24 na nilibahatika kurudia mtihani wa kidato cha nne na kupata c,c,b,d,d wakati nawaza kuendelea na elimu ya kidato cha 5 baba angu mzazi alifariki na kuniacha mimi na ndugu zangu wawili,baada ya kutokwa na baba nkawaza niombe chuo cha ualimu hivyo naombeni ushauri hizi alama nilizopata mie naweza kujiunga na chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu kwani nahitaji niwasaidie ndugu zangu lakini uwezo sina.
Fanya hivi subiri nacte wafungue msimu wao Wa udahili jaza form zao online utapata tu nina shemeji zangu niliwajazia walipata vyuo vya serikali tena walirudia. Kinachotakiwa observe time na hzo Sifa nilizokwambia. Hapa nchini mwenye mandate ya kupanga wanafunzi kusoma ualimu ni nacte kwa mujibu wa sheria. Usiwe na papala wala usiogope unapata bila shida. Karibu kwenye ulimwengu wa kuwatoa watu ujinga!!thank balimar ila tajuaje maana nilirudia masomo tano tu na ndo nilipata kama hvo so sifa ninayo au nipo out of qualification?