Nahitaji kujiendeleza kielimu

luqman juma jr

New Member
Oct 30, 2015
1
0
Jaman watanzania Na wasio watanzania mm ni kijana wenu nmehitimi elimu ya sekondar mwaka 2013 katoka hali ambayo mpaka Leo sitak kuamin nilionekana nmefel ila nnajiamin ninaulewa zaid ya wengine walifaulu kipindi kile msaada wenu naomben mwenye uwezo anisaidie maana nimeangaika mwenyew nimeshinda tuokoe vijana kama Mimi wanaoishia kuwa mateja asnteni. 0719725594
 
Katika moja ya mstari umesema unauelewa zaidi ya waliofaulu. That's right, sasa tunakushaurije kwamfano? Tumia uelewa wako ulionao. Na kama kuharibiwa na unga umependa basi sawa
 
IQ testing mlizifanya lini ndugu? ,huna uelewa kuliko wengine,iko hivi:una kihelehele kuliko wengine hakika.
 
kwa uandishi wako tu huu ni lazima uamini kwamba umefeli kwa haki kabisa tena 100%. Sasa turudi kwenye point umsada unaouhitaji ni upi wa kimawazo au tukusaidie kukusomesha?
 
Mkuu naona umejiamini sana, kiasi flani inaonekana kujiamini kwako kulichangia kufeli kwako. Ainisha aina ya msaada unaohitaji na uoneshe wewe mwenyewe umechukua hatua gani ili watu watakaoweza au watakaojisikia kutoa msaada wajue wanaanzia wapi na uzito wa hilo jukumu upoje wajitokeze.
 
Back
Top Bottom