Trouble shooter
Member
- Jan 18, 2014
- 79
- 12
Kwa Nmb bank je mahitaji ni yapi gharama za kufungua akaunti na itachukua muda gan mpaka kupatiwa kadi yangu
kabla cjaenda ningetaka maelezo ya kutosha kwanza hapa maana naamini hao watendaji wapo apa piaNenda tawi la nmb lililopo karibu na wewe. Utapewa maelekezo.
Uko kijiji gani
Kwa Nmb bank je mahitaji ni yapi gharama za kufungua akaunti na itachukua muda gan mpaka kupatiwa kadi yangu
Niko biharamulo
ndugu zangu naitwa ALEX JOHN MOSHA niko shinyanga sio siri NMB mnakatisha tamaa ATM card yangu ilivunjika nikaomba kutengenezewa nyingine kutoka NELSON MANDELA ikafika shinyanga tawi la manonga bila password nikapewa card yangu sasa ni mwezi wa tatu kila siku napiga mguu manonga branch bila mafanikio tatizo ninini? acc/no.40310003543 ma email.mbatiakessy09@gmail.com contact 0759225695
Kuna thread inawahusu NMB humu JF. Unaweza uka post usubiri majibu baada ya week, au ukaenda tawi liliopo jirani nawe...kabla cjaenda ningetaka maelezo ya kutosha kwanza hapa maana naamini hao watendaji wapo apa pia
Wana bahati NMB wana mikadi yao ya kizamani...Umemwaga info nyingi mno. Kama kuna wanigeria hapa jamvini account yako itakombwa muda si mrefu kuanzia leo. Punguza hasira!