Habari zenu wadau, mimi na wenzangu tunaandaa event ya vijana hapa Dar es salaam lakini katika kupanga bajeti yetu vizuri tunahitaji kufahamu bei za hizo kumbi nimezitaja hapo juu ili kuweza iufanya good estimation. Naamini humu ni sehemu sahihi kufahamu bei za kumbi tajwa (MWALIMU NYERERE CONFERENCE HALL, BLUE PEARL NA NKURUMAH HALL). msaada wenu tafadhali ndugu zanguni