Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

Wee jamaa una utani duh Jokate hafu hafikii ?
Wageni vipi wanarusiwa kuchukua na kuondoka nao?
Kila siku ninawaeleza, mwanamke ni tabia na si sura pekee, lakini hamsikii!
Angalia sasa unavyoanza kuwasamamba wahabeshi! Hauwawezi mwanangu, achana nao.
Mila na desturi zetu na zao ni sawa na mbingu na nchi.
Kuna methali ya kinyamwezi ili kukazia usemi wangu inasema " uzuri wa kuwa ndani chongo". Kuna tunda pori flani mithili ya kungu lina ladha tamu sana.
Linatamanisha ulionapo jinsi lilivyo. Lakini ukilichuma na kulipasua ili ulile, ndani unakuta limesheheni wadudu aina ya sisimizi.
Sasa maana yake, usiishie kuangalia sura pekee kwa mwanamke wa kuoa, bali pia tabia yake.
 
Mimi ninavyo fahamu ni kua Eritrea ndio nchi yenye madem wakali kuwahi tokea barani Africa thatz all
 
Kwan we sio mtanzania?......... Kama hutaki kumsaidia mtu kaa kimya.....,.kuna watu watakaomsaidia[emoji72]
 
dah hivi kwa basi sifiki eritrea?niombe uraia hata kwa mwaka mmoja
 
Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
Kumbe ni habari ya "kusikia" tu!
 
Upo sahihi kabisa mkuu,mleta mada ange google angepata jibu in a minute, tatizo siku hizi JF ni kama vile kuna mashindano ya kuanzisha Thread,ndio maana vithread kama hivi vya kuuliza viswali vya darasa la pili vimejaa sana humu JF siku hizi.
 
Acha kuita binadamu shetani wakati anauwezo wa kuomba msahama
nimesoma chuo na waeritrea na wahabebeshi toka kabila moja la watigray, wako freshi tuu sikuona dharau zozote mie. wengine walikuwa ni amharas na wolayta.
 
Uko sahihi kabisa mkuu.Hii inaonyesha elimu yetu ilipotufikisha.We are in fact a nation of fools.Very sad indeed.
Upo sahihi kabisa mkuu,mleta mada ange google angepata jibu in a minute, tatizo siku hizi JF ni kama vile kuna mashindano ya kuanzisha Thread,ndio maana vithread kama hivi vya kuuliza viswali vya darasa la pili vimejaa sana humu JF siku hizi.
 
Sio mbaya kuuliza kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…