mr altitude
Member
- Jul 23, 2016
- 96
- 59
Binafsi nitatamani kutoroka, maana kuoa wanawake wa aina ya watu hao labda iwe amri ya mahakama.Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
hapo sawa unaoa kabuli na jenezaNaskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya maisha.
Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Eritrea. Kwa anayeifahamu naomba anisaidie.
Asanteni.
Una mamboBinafsi nitatamani kutoroka, maana kuoa wanawake wa aina ya watu hao labda iwe amri ya mahakama.
Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
Nipo seriousMzee uko serious kweli unasubiri jibu la hilo swali??..dah hii hatari
no si cushitic Eritrea ni asili ya semitics. Cushitics ni Somalis, Oromo, Borana,Tutsi na Mbulu/Iraqw n.kNi moja ya nchi iliyo katika pembe ya Africa na watu wake ni asili ya cushitic
Eritrea ilipigana vita na Ethiopia, wanaume wengi sana walifia vitani, ndo maana ratio ikawa hivyo, kama ilivyokuwaga Urusi, baada ya vita kuu ya pili ya dunia...Hii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
wameibania Ethiopia hadi bahari. Ethiopia haina bandari wanategemea bandari ya Djibouti. Sasa hivi wamewauzia Qatari Governent Bandari imefanya Ethiopia na Qatar hawana mahusiano ya kidiplomasia.Eritrea ilipigana vita na Ethiopia, wanaume wengi sana walifia vitani, ndo maana ratio ikawa hivyo, kama ilivyokuwaga Urusi, baada ya vita kuu ya pili ya dunia...