JIMMY BENNE
Member
- Apr 15, 2013
- 28
- 1
Mkuu hao mawakala wanapatikana hapa Dar?Pole sana kwa tatizo lako,nami yalinikuta majanga kama hayo gharama ya lcd complete ni tsh 250000 kwa dar tembele mawakala wa samsung
Mkuu hao mawakala wanapatikana hapa Dar?
Ndio wako dar,wasiliana na makao makuu kwa namba 0682555777 kuanzia saa 4.30asbh wao watakuelekeza maduka ya service yaliko.
msaada kioo cha iphone 4
asante sana ndugu ngoja nimchekPiga 0713756256
Mkuu 100000 tu yupo mhikaji posta hapo,mchek wa namba hii 0713451570Mkuu hao mawakala wanapatikana hapa Dar?
Mkuu 100000 tu yupo mhikaji posta hapo,mchek wa namba hii 0713451570
Nauza samsung galaxy s3 verizon 4g