Sio magumashi.Je anaweza kua magumashi?
Sio magumashi.
Ni jukumu lako kufahamu jinsi gani ya kutumia anwani hiyo ya silent Ocean.
Iandike kwenye shipping address, then fanya manunuzi kama kawaida, na mzigo utatumwa kulingana na anwani uliyoweka.
Then kitakachofuata ni mawasiliano ya wewe na silent ocean ili watambue mzigo wako na utasafirishwa hadi nchini, Gharama watakujulisha.