Nahitaji ku-disable headlight washer Subaru-Forester

Nahitaji ku-disable headlight washer Subaru-Forester

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Nahitaji ku-disable hizi headlight washer, nilipata changamoto ya kuibiwa washers zilizokuja na gari, sasa hizi washers za mtaani hazifiti vizuri japo zinacover kwa nje ila ukitumia washer zinaanguka, hata ukiweka ribit hii nguvu ya washer wakati mwingine bado zinatoka.

Nimeona kuna options za kudisable zinazoweza kufanya kazi,

1. Kudisable kutumia diagnosis machine ODB
2. Kuweka jumper kwenye control box
3. Kuweka plug kwenye njia

Kwa ambaye amefanikiwa kusolve hili tatizo, naomba msaada wa mtaalamu atakayetatua.


View: https://youtu.be/yUuaorw1q5Y
 
Ungekua mtaalamu nikuelekeze uzi disable mwenyewe upo maeneo gani ?
 
Njia zako zote Possible:

1. Kudisable kutumia diagnosis machine OBDII:
Kama unayo Subaru SSM unaweza ukazima washer.

2. Kuweka jumper kwenye control box:
Au easily kutoa fuse ya washer kwenye fuse box (zinaandikwaga HDPL WASHER, au HEADLIGHT WASHER angalia usimix na windscreen washer.
3. Kuweka plug kwenye njia:
Au kutoa/kudisconnect pump ya headlights washer.
 
Back
Top Bottom