Nahitaji kontena kwa ajili ya frem

Nahitaji kontena kwa ajili ya frem

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,633
Reaction score
38,733
Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...

Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia anaweza kunichek na kunipa gharama zake
 
nina fundi mtaalam anaweza na garama zake ndogo anapatikana temeke vetinary kama uko tayar ni pm nikutumie no zake au nikupeleke
 
Kuna jamaa anauza kontena 40 ft mln 5 iko na doc yake Ukiwa tayari Nambie nkulink naye mmiliki Yuko dar

Ova
 
Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...

Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia anaweza kunichek na kunipa gharama zake
Kuna la futi 20 kama ltakufaa npgie 0718093225 bei milioni 3
 
Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...

Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia anaweza kunichek na kunipa gharama zake
Ukiwa tayari ni pm nkupe namba namba ya mmiliki Wa kontena

Ova
 
Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...

Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia anaweza kunichek na kunipa gharama zake
LIPO FUT 20 Sinza..0762544454
 
Back
Top Bottom