kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,206 Reaction score 7,358 Jan 20, 2021 #42 Deejay nasmile said: KIWANJA KIPO NZUGUNI A Dodoma- BLOCK AN.UKUBWA WA SQM 706 ..BEI 6.5 milioni Mazungumzo yapo Click to expand... Nikutafute kesho asubuhi kwa 2m
Deejay nasmile said: KIWANJA KIPO NZUGUNI A Dodoma- BLOCK AN.UKUBWA WA SQM 706 ..BEI 6.5 milioni Mazungumzo yapo Click to expand... Nikutafute kesho asubuhi kwa 2m
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Jan 20, 2021 #43 Late 12m nikuuzie changu kiko mbopo.
G ghwaki Member Joined Oct 6, 2020 Posts 33 Reaction score 21 Jan 23, 2021 #44 yello masai said: Boss nina milion 3 tu Click to expand... Mkuu viwanja vpo Kiluvya kwa Sumaye mbele kwa hiyo being unapata umbali kama km 1.5
yello masai said: Boss nina milion 3 tu Click to expand... Mkuu viwanja vpo Kiluvya kwa Sumaye mbele kwa hiyo being unapata umbali kama km 1.5
kitaboy JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 341 Reaction score 1,224 Jan 23, 2021 #45 kilambimkwidu said: Nikutafte kesho asubuhi kwa uko sttaight sana, na mm nimuongezea 1m nimpe 3m! Click to expand... Hiyo Nzuguni ni Nzuguni ipi? Maana sifa kuu ya Nzuguni ni kujaa water
kilambimkwidu said: Nikutafte kesho asubuhi kwa uko sttaight sana, na mm nimuongezea 1m nimpe 3m! Click to expand... Hiyo Nzuguni ni Nzuguni ipi? Maana sifa kuu ya Nzuguni ni kujaa water
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,901 Reaction score 4,129 Jan 26, 2021 Thread starter #46 Tmass said: Bagamoyo je Click to expand... Hapana
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,901 Reaction score 4,129 Jul 6, 2021 Thread starter #47 Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za tofali sasa.
K kaale Member Joined May 19, 2014 Posts 96 Reaction score 36 Jul 10, 2021 #48 mshipa said: Ongeza hela nikuuzie kiwanja kifuru hapa 5.5mil Click to expand... Tuwasikiane WhatsApp 0625492720
mshipa said: Ongeza hela nikuuzie kiwanja kifuru hapa 5.5mil Click to expand... Tuwasikiane WhatsApp 0625492720
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Jul 11, 2021 #49 Hongera mkuu umepata wapi kwa bei gani. yello masai said: Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za tofali sasa. Click to expand...
Hongera mkuu umepata wapi kwa bei gani. yello masai said: Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za tofali sasa. Click to expand...
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,901 Reaction score 4,129 Jul 11, 2021 Thread starter #50 Kifurukutu said: hongera mkuu umepata wapi kwa bei gani Click to expand... Asante mkuu. Kibamba kwa 4M
Kifurukutu said: hongera mkuu umepata wapi kwa bei gani Click to expand... Asante mkuu. Kibamba kwa 4M
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,743 Reaction score 6,273 Jul 11, 2021 #51 yello masai said: Wakuu nahitaji kiwanja. Location: Sehemu yoyote kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Bajeti : 3M. Tuwasiliane. ************************************ Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za tofali sasa. Click to expand... Kichukue hiki hapa.
yello masai said: Wakuu nahitaji kiwanja. Location: Sehemu yoyote kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Bajeti : 3M. Tuwasiliane. ************************************ Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano. Naanza kuchanga za tofali sasa. Click to expand... Kichukue hiki hapa.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Jul 11, 2021 #52 Busekela said: Kipo kibaha kwa mfipa,umbali km 4 hivi kutoka Morogoro road.Ukubwa ni mita 40 kwa 15 na bei yake ni tsh 2.5m fixed. Click to expand... Hicho ni kiwanja au korido?
Busekela said: Kipo kibaha kwa mfipa,umbali km 4 hivi kutoka Morogoro road.Ukubwa ni mita 40 kwa 15 na bei yake ni tsh 2.5m fixed. Click to expand... Hicho ni kiwanja au korido?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,631 Reaction score 6,494 Jul 19, 2022 #53 mshipa said: Sio mbali kiivyo kutoka road .....kiwanja kilichonyooka yaani flat kabisa bei zake ni ndefu kidogo Click to expand... Hello.. Kuna jamaa yangu anatafuta kiwanja. Bado unacho kiwanja chako unauza?
mshipa said: Sio mbali kiivyo kutoka road .....kiwanja kilichonyooka yaani flat kabisa bei zake ni ndefu kidogo Click to expand... Hello.. Kuna jamaa yangu anatafuta kiwanja. Bado unacho kiwanja chako unauza?
josemaro Member Joined Jul 14, 2018 Posts 90 Reaction score 62 Jul 24, 2022 #54 menat said: Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali Click to expand... Bado vipi??
menat said: Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali Click to expand... Bado vipi??
The last don JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 1,135 Reaction score 1,381 Jul 24, 2022 #55 Wadau nahitaji kiwanjaa budget ipo 10m....maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam isipokuwa Chanika na Kigamboni..
Wadau nahitaji kiwanjaa budget ipo 10m....maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam isipokuwa Chanika na Kigamboni..