Nahitaji Kiwanja

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,901
Reaction score
4,126
Wakuu nahitaji kiwanja.

Location: Sehemu yoyote kuanzia Kimara mpaka Kibamba.

Bajeti : 3M.

Tuwasiliane.

========

Wakuu nimepata kiwanja, asanteni sana kwa ushirikiano.

Naanza kuchanga za tofali sasa.
 
KIWANJA KIPO NZUGUNI A Dodoma- BLOCK AN.UKUBWA WA SQM 706 ..BEI 6.5 milioni Mazungumzo yapo
 
KIWANJA KIPO NZUGUNI A Dodoma- BLOCK AN.UKUBWA WA SQM 706 ..BEI 6.5 milioni Mazungumzo yapo
Mkuu uwe unasoma na post siyo heading tu, amesema anataka kiwanja Kimara mpaka Kibamba wewe unamletea habari za Nzuguni Dodoma.

Na mleta mada budget yako iko chini sana huko ulikotaja kupata kwa bei hiyo kwa sasa ni ngumu labda usogee sogee Kibaha nako bado utapata mbali kidogo na barabarani.
 
Viwanja Vipo Madale Karibu na Kwa Diamond.

Mmiliki namfahamu Sana Mpaka Nyumbani Kwake, Huwa ananunua maeneo na Kuuza na Ukiridhika Na Vielezo Utanunua, Usiporidhika ni Sawa Pia (Biashara Huria)

Very Clean Documents, Very Straight Business

Kama Upo Serious PM

Mimi eneo langu nimenunua kwa huyo huyo jamaa. Vielelezo Vyote Vimenyooka Sahihi mpaka Dole Gumba ukitaka unawekewa + vitambulisho vya Nida.

Very Straight Businessman.
 
Mbona kama kuna harufu ya kitu flani hapa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…