wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo
1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)
2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)
3. kuwe ni inje ya miji mikubwa
4. usafari mzuri ( barabara)
5. hospitali inapatikana kwa karibu
6. usalama wa kutosha
7. maji na umeme
nitashukuru sana kwa mchango wenu
Huku Kaitaba au kuna sehemu nzuri sana yenye sifa kama hizo. Kama Vipi niPM. Kuna jamaa yangu naye kanambia kuna viwanja vizuri sana maeneo ya Eldoreti....wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo
1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)
2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)
3. kuwe ni inje ya miji mikubwa
4. usafari mzuri ( barabara)
5. hospitali inapatikana kwa karibu
6. usalama wa kutosha
7. maji na umeme
nitashukuru sana kwa mchango wenu
Huku Kaitaba au kuna sehemu nzuri sana yenye sifa kama hizo. Kama Vipi niPM. Kuna jamaa yangu naye kanambia kuna viwanja vizuri sana maeneo ya Eldoreti....
asante mkuu lakini handeni wenyewe wachaga wamekimbia, mimi kweli patanifaa?Handeni - Kwamatuku kutakufaa?
hapo sawa. labda bei inishinde. je unaweza kukisia ndugu yangu?Mbezi bonyokwa vipi?

wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo

1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)

2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)

3. kuwe ni inje ya miji mikubwa

4. usafari mzuri ( barabara)

5. hospitali inapatikana kwa karibu

6. usalama wa kutosha

7. maji na umeme

nitashukuru sana kwa mchango wenu
ndio wapi huko mkuu?ndugu kilindi kunakufaa sana ardhi ipo shwari jitahidi ufanye mawasiliano. ekati moja tsh 150,000