Nahitaji kiwanja

Nahitaji kiwanja

facts only

Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
31
Reaction score
37
Kama Kichwa kinavyo jielezea; nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, Budget yangu ni 8,000,000/=
Wahusikia karibuni 0786328632
 
Njoo nikuuzie changu kipo chanika buyuni 4m sqm 316 kimepimwa na halmashauri na kina hati tayari kipo eneo zuri sana barabarani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa mnakurupuka tu kuandika eti.!?? Wapi alipo andika kuwa anataka kiwanja Chanika.??? Mleta mada anataka kiwanja maeneo ya Goba na si chanika kama huna kiwanja maeneo hayo kaa kimya, kenge ww

Hahahaaa Kiswahili lugha yetu lakini ngumu sana kueleweka na watu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni 20 kwa kumi na ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Icho apo boss nilipozungushia
20200109_164314.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom