uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,406
- 3,595
20 kwa 30 mkuuMilioni 2.5 unapata cha ukubwa gani maeneo hayo? Je ni km ngapi kutoka morogoro road?
20 kwa 30 mkuuMilioni 2.5 unapata cha ukubwa gani maeneo hayo? Je ni km ngapi kutoka morogoro road?
Mkuu nitumie namba yako inbox20 kwa 30 mkuu
Sawa mkuuMkuu nitumie namba yako inbox
Mbele ya mbagala kama unaenda kigamboni ni mji safi kabisa kumejengeka vizuri na kuna kituo kikubwa cha daladala, kiwanja kimepimwa tayari ukubwa ni 29.3*13.3 bei 5m only simu 0674839141Toa ngoma ni wapi na bei zake zikoje
Vp mkuu naomba namba yako au nitafute 0766502869duuuu kweli hali tete……...
Ukihitaji pugu tuwasiliane
Kutoka lami 1km
Ukubwa sqm 1600 (40*40)metre
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kipo hiki?Ukihitaji pugu tuwasiliane
Kutoka lami 1km
Ukubwa sqm 1600 (40*40)metre
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mm nauza changu kipo madale msigani kimepimwa kina ukubwa wa 40 kwa 20 nauza 25m ila maongezi yapoNahitaji kununua kiwanja maeneo ya Kiluvyaa, Kibaha, Bagamoyo,Tegeta na Boko.
changu kipo SANZALE bagamoyo 25 kwa 20 hakijapimwa lakini barua za serikali ya mitaa zipoKaribu mm nauza changu kipo madale msigani kimepimwa kina ukubwa wa 40 kwa 20 nauza 25m ila maongezi yapo
Tafuta wamakonde au watu wa kusini.mchaga hawezi ishi kivuleNikuuzie ka kwangu kapo Kivule, Maduka Saba. Mi nilinunua 4m mwaka 2016, 400 sq ft
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo vigwaza bei hiyo unapata 20 *40 mita mia hamsini kutoka moro rd 0755918095Milioni 2.5 unapata cha ukubwa gani maeneo hayo? Je ni km ngapi kutoka morogoro road?
Nabaliana na wewe mkuu... Nilipewa huko nikakataaTafuta wamakonde au watu wa kusini.mchaga hawezi ishi kivule