Hujasema unataka cha ukubwa gani.. Mimi nina kiwanja mbezi msakuzi. Kina ukubwa wa mita 20.5 kwa mita 19. Bei milioni 7. Upimaji shirikishi uko kwenye process. Pamejengeka sana na nguzo ya umeme iko hapo hapo site. Ukitaka picha utaonyeshwa. Barabara ipo ya kuingia na kutoka. Ukivutiwa na haya maelezo nipigie 0659 402 124. Mimi ndie mmiliki. Hakuna cha udalali.Kiwe sehem nzuri, kinachofikika majira yote, Goba,matosa,tegeta A,bunju of a yangu 10m, kama unacho njoo Pm.