Marymariemary
Member
- Oct 6, 2019
- 16
- 28
Boma ng'ombe je ..?!Habari zenu wanaJF,
natafuta Kiwanja 20 kwa 20 sehemu ni Sanya juu/ SiHA stendi au mbali kidogooo na stendi.
Naomba uje na Bei yako then tu'negotiate.
Kipo Sanya?Njoo chalii angu kiwanja kikubwa kama shamba arifu
Nahitaji sanyaBoma ng'ombe je ..?!
Boma ng'ombe je ..?!
Sanya Juu kuna vile vya Halmashauri nafikiri bado wanauza.
Vinauzwa bei gani?
Watafute Kambele investment wana ofisi zao hapo Boma N'gombe ni jamaa fulani wako vizuri kwenye shughuli hiyo.
Himo kipo karibu na shule 3.5 ni pmMimi pia natafuta kiwanja kilichopimwa maeneo ya HIMO au Marangu mtoni