Habari zenu, kwanza niliwahi kutoa tangazo hapa la uhitaji wa kiwanja, nashkuru nilifanikiwa kupata kule kigamboni, lakini kwa sasa nahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia UBUNGO hadi KIMARA mwisho yaani Morogoro Road, GOBA isiwe mbali kutoka hapa tanki bovu kituoni, MAKONGO JUU, CHANGANYIKENI, BUNJU, TEGETA, BOKO, SALASALA, Ukubwa kati ya Sq 500 hadi Sq 700, ukiwa na sehemu tofauti kati ya hizi nijuze naweza badili preference ila isiwe kigamboni, Niko serious Kama una kiwanja au unajua mtu mwenye nacho nipm tutafanya biashara haraka bila kupoteza muda, karibuni wote, natanguliza shukrani.
Kwanini sio kigamboniHabari zenu, kwanza niliwahi kutoa tangazo hapa la uhitaji wa kiwanja, nashkuru nilifanikiwa kupata kule kigamboni, lakini kwa sasa nahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia UBUNGO hadi KIMARA mwisho yaani Morogoro Road, GOBA isiwe mbali kutoka hapa tanki bovu kituoni, MAKONGO JUU, CHANGANYIKENI, BUNJU, TEGETA, BOKO, SALASALA, Ukubwa kati ya Sq 500 hadi Sq 700, ukiwa na sehemu tofauti kati ya hizi nijuze naweza badili preference ila isiwe kigamboni, Niko serious Kama una kiwanja au unajua mtu mwenye nacho nipm tutafanya biashara haraka bila kupoteza muda, karibuni wote, natanguliza shukrani.
Kwani hujaona hapo aliposema kigamboni tayari alishapata na sasa anataka eneo tofauti na hukoKwanini sio kigamboni
Mkubwa Njoo, Madale Kwa Kawawa ninavyo Viwanja vya uhakika(20X20M =400M, Unaweza unganisha Viwil, pia vipo 25X20 =500SQM,( Bei ni kati ya 7M-9M.(Kuna Uzi hapa JF)..Ndio tuna malizia,!
Pia kuna Viwanja 2 vimebaki kati ya 80 nilivyokwisha toa pale Daraja la Mingoi, ukivuka tu upande wa bagamoyo mkono wa kushoto(Km2 Kutoka barabara kuu), Ukiwa kwenye site unaitazama Bunju mbele yako ukitenganishwa na bonde la Mingoi. Tu! 22M X40 =(880SQM) kwa milioni 8 KAMILI BEI HALALI. yenye risti ya EFD lol!
Nicheck kwa (+255762 466 293) Mr MBUNGI.
Ofa yako ni ngapi mkuu viwanja vipo!Habari zenu,
Kwanza niliwahi kutoa tangazo hapa la uhitaji wa kiwanja, nashkuru nilifanikiwa kupata kule kigamboni, lakini kwa sasa nahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia UBUNGO hadi KIMARA mwisho yaani Morogoro Road, GOBA isiwe mbali kutoka hapa tanki bovu kituoni, MAKONGO JUU, CHANGANYIKENI, BUNJU, TEGETA, BOKO, SALASALA.
Ukubwa kati ya Sq 500 hadi Sq 700, ukiwa na sehemu tofauti kati ya hizi nijuze naweza badili preference ila isiwe kigamboni,
Niko serious Kama una kiwanja au unajua mtu mwenye nacho nipm tutafanya biashara haraka bila kupoteza muda, karibuni wote, natanguliza shukrani.
Plot yenyenye viwanja ipo kwenye process ya kurasimishwa nimeisha peleka michoro ardhi..Ninapokwambia viwanja ni vya uhakika ujue ni vya uhakika.. wapo wenzio kibao waliopata na wameanza kuviendelezea.wakipitia hapa watakwambia habari za hizo vVimepimwa?
Plot yenye viwanja ipo kwenye process ya kurasimishwa nimeisha peleka michoro ardhi..Ninapokwambia viwanja ni vya uhakika ujue ni vya uhakika.. wapo wenzio kibao (wapo humu JF waliopata na wameanza kuviendelezea.wakipitia hapa watakwambia habari za hizo viwanja.Vimepimwa?
bado kipo?Nina kiwanja bunju A kinondo ukubwa 28/20 bei ni milioni 8 ni cheki kwa 0713-437713
Madalali muwe na huruma hata kwa kipindi hiki tunavyosoma namba bado mnauza vitu bei juu hivyo,aisee najua kwanini sikujenga awamu ile maana milioni 5 kwa mwezi haikuwa habari ya ajabu saizi laki5 inatokea kwa bahatiKipo tegeta mil 75 na mbweni mil 40 kazi kwako mkuu.
0714787795
ndugu,nami ninacho kiwanja madale miguu 30 kwa 25,nauza ml.6 kamili,napatikana kwa namba 0786 294545
Habari zenu,
Kwanza niliwahi kutoa tangazo hapa la uhitaji wa kiwanja, nashkuru nilifanikiwa kupata kule kigamboni, lakini kwa sasa nahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia UBUNGO hadi KIMARA mwisho yaani Morogoro Road, GOBA isiwe mbali kutoka hapa tanki bovu kituoni, MAKONGO JUU, CHANGANYIKENI, BUNJU, TEGETA, BOKO, SALASALA.
Ukubwa kati ya Sq 400 hadi Sq 700, ukiwa na sehemu tofauti kati ya hizi nijuze naweza badili preference ila isiwe kigamboni,
Niko serious Kama una kiwanja au unajua mtu mwenye nacho nipm tutafanya biashara haraka bila kupoteza muda, karibuni wote, natanguliza shukrani.
Salasala juu(mivumoni) vipo tuwasiliane 0714013531Habari zenu,