Nahitaji kiwanja Kigamboni

Nahitaji kiwanja Kigamboni

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
400
Habari wanajamii!
Somo tajwa hapo juu la husika, nilikua nimeweka pesa yangu benki (2mil) nikagundua si vyema, nibora niiweke kwenye ardhi.
Sasa kama kuna mtu anaweza kuniuzia aridhi kwa bei hiyo pengine na pungufu ya hapo(ntaipa kipaumbele yenye bei chini) ukubwa wa kiwanja 25*30 or25*25 na zaidi hata ikifika ekari moja poa, anishtue.
Maeneo nayo yapendelea ni kigamboni tu, not more than that.
Pia isiwe mbaali na maeneo ya road kwa maana ya uraisi wa usafiri..
Pasizidi km 15 kutoka kwenye kivuko.
Pakiwa na huduma zoote muhimu hata kama si zote ntanunua siku yakwanza nitakapo paona.
Kwa maelezo zaidi njoo pm au 0758009876.

NB:HATUA ZOOTE ZA MAUZIANO ZITAFUATWA ILI KUEPUSHA LONGO LONGO.
 
Mimi ninacho kibugumo umbali toka ferry ni km 8. Umbali toka main road ni meter 300 tu, umeme upo, mazingira yamejengeka vizuri tu. Bei mil 4 haipungui ukubwa 23*19 namba yangu ni 0716805201. Kiwanja ni tambalale.
 
Nina maeneo mengi kigamboni ila kwa bei hiyo Mkuu ikitokea mtu anasema anakuuzia jua anakuibia mkuu kwa kigamboni bei hiyo hupati mkuu nisikudanganye milioni mbili hupati
 
Sipati au wewe huuzi bei hiyo!?
Hapo kuna mambo 2 na hayafanani!
Any way mi mwenyewe naelewa kinachoendelea kwenye issue za viwanja, so usiwe na wasiwasi kuhusu mimi kuzulumiwa...

Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wa kijamaa!
 
Kiongozi kwa milion 2, na kwa umbali na sifa ulizozisema ni nadra sana kupata, nenda mbele huko labda kimbiji au mwasonga huko utapata ekari hata 3
 
Nina maeneo mengi kigamboni ila kwa bei hiyo Mkuu ikitokea mtu anasema anakuuzia jua anakuibia mkuu kwa kigamboni bei hiyo hupati mkuu nisikudanganye milioni mbili hupati

vyako maeneo gani na unauza bei gani?
 
Kiongozi kwa milion 2, na kwa umbali na sifa ulizozisema ni nadra sana kupata, nenda mbele huko labda kimbiji au mwasonga huko utapata ekari hata 3

Shukrani kwa maelekezo
 
Habari wanajamii!
Somo tajwa hapo juu la husika, nilikua nimeweka pesa yangu benki (2mil) nikagundua si vyema, nibora niiweke kwenye ardhi.
Sasa kama kuna mtu anaweza kuniuzia aridhi kwa bei hiyo pengine na pungufu ya hapo(ntaipa kipaumbele yenye bei chini) ukubwa wa kiwanja 25*30 or25*25 na zaidi hata ikifika ekari moja poa, anishtue.
Maeneo nayo yapendelea ni kigamboni tu, not more than that.
Pia isiwe mbaali na maeneo ya road kwa maana ya uraisi wa usafiri..
Pasizidi km 15 kutoka kwenye kivuko.
Pakiwa na huduma zoote muhimu hata kama si zote ntanunua siku yakwanza nitakapo paona.
Kwa maelezo zaidi njoo pm au 0758009876.

NB:HATUA ZOOTE ZA MAUZIANO ZITAFUATWA ILI KUEPUSHA LONGO LONGO.

Fanya hivi,
Leta 3.5mil nakupa kiwanja Mwikwambe -Fun City, 18km from ferry na ukitumia njia ya Nyuma Chuo cha Mwl. Nyerere ni 15km. Ukubwa 311Sqm na ni unsurveyed.
 
Sio kile kilicho mkabala na ukuta wa fun city?
Pia sqm 311 ni kidogo ajabu! Bora mara 100 kiwe na 400 sqm
 
Sio hicho,
Kiwanja ni kidogo yes, sababu na bei nayo ni ndogo pia. Ukiweza unganisha viwili kwa 7mil
 
Ok, will come back 2u if that will be necessary, thanx!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom