mkuu Igoma kati ndo center ya Igoma pia ni karibu na barabara kuu ya Mwanza - Musoma kumechangamka sana huko hata viwanja hakuna labda ununue nyumba
Shamaliwa ni mitaa ya mbele kidogo patulivu lakini kumejaa napo viwanja unaweza kupata ila ni ghali sana na vimepimwa
na huko kishiri ndio kunajengwa sana kwa sasa maeneo mengi bado ni mashamba hivyo unaweza kukatiwa saizi unayotaka kwa maelewano bado hakujapimwa