Mkuu kwa hiyo budget, huwezi kupata Kiwanja Kisota au KibadaRefer
to the above subject,My Budget is 8m-12m,size 600m2 - 1000m2,Kiwe
kimepimwa.
Mkuu kwa hiyo budget, huwezi kupata Kiwanja Kisota au Kibada
kilichopimwa kwa namna yoyote.
Sikukatishi tamaa ila kwa sasa hizo ni Prime areas, ninacho Kisota cha square meters 1900 kinachouzwa kwa Milioni 250 negotiable. Na hata kisichopimwa
unaweza kujikuta umepata eneo la mradi.
Kama unapafahamu Mwongozo, zipo heka nzima kwa milioni 7 na ni negotiable, kabla ya kununua unaleta landa surveyor athibitishe kama hakuna mipango ya serikali n.k Na anakuandalia mchoro na unaanza kuprocess hati mwenyewe.
Kibada Kuna vya Milioni 7 mpaka 12, unapima pia kabla ya kulipia.
Ukiwa interested Ni PM.
Kibada kwani unavyo vya
bei gani? Lengo viwe vya kupimwa hata Mikwambe au Toangoma kama unavyo
nitajie bei.
Refer to the above subject,My Budget is 8m-12m,size 600m2 - 1000m2,Kiwe kimepimwa.
Fun City una viwanja vya kupimwa pale?
Ndio vyote vina offer na hicho cha milioni 18 kina Title Deed.
Mkuu huko dunia ya ngapi?
mambo ya offer yalishaondolewa zamani sana siku hizi ni Hati moja kwa
moja.
Fun City una viwanja vya kupimwa pale?
Tuangoma kuna square meters 1200 zenye title deed mita 800 kutoka kwenye lami, bei milioni 25.
Bei aipungui mkuu?
Tuangoma kuna square meters 1200 zenye title deed mita 800 kutoka kwenye lami, bei milioni 25.