Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,519
- 6,920
Kiwanja kipo gezaulole sqm 1200 kinauzwa 16m.
sio dalali! ninacho kiwanja goba st joseph kina nyumba yakurekebisha ina umeme kiwanja kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara! kama unahitaji na upo serious 0653992118
Hatua 5 kutoka barabarani? Mkuu basi hicho ni mali ya tanroad
mradi wa barabara unaendelea kutoka goba to massana tangibovu kama umetembelea huko utajua ninacho maanisha! kiwanja changu kipo distance kutoka kwenye jiwe la barabara yaani hakina matatizo ya aina yeyote na masuala ya barabara! upo interested ni pm ukajiridhishe or tumia hizo contactHatua 5 kutoka barabarani? Mkuu basi hicho ni mali ya tanroad
Kiwanja kipo gezaulole sqm 1200 kinauzwa 16m.
Mkuu kipo block gani? Pameshachangamka??
Wakuu hadi sasa sijapata response ya kueleweka bado natafufa
Bado sijapata wakuuu