julius junior Member May 22, 2014 97 35 Jun 25, 2016 #1 Wazima Wakuu, Nahitaji kiwanja bomang'ombe Hai, budget yangu ni Million 3, mwenye nacho tuwasiliane tafadhali # 0685000921#
Wazima Wakuu, Nahitaji kiwanja bomang'ombe Hai, budget yangu ni Million 3, mwenye nacho tuwasiliane tafadhali # 0685000921#
julius junior Member May 22, 2014 97 35 Jun 28, 2016 Thread starter #3 Ukubwa wowote unaoendana na bei yangu hapo, eneo lenye umeme na maji
SIM JF-Expert Member Oct 25, 2011 1,795 1,300 Jul 22, 2016 #5 julius junior said: Wadau vp, hamna mwenye nacho Click to expand... Ukikosa huko njoo ununue moshi mjini Shabaha mabogini kilomita 10 kutoka town
julius junior said: Wadau vp, hamna mwenye nacho Click to expand... Ukikosa huko njoo ununue moshi mjini Shabaha mabogini kilomita 10 kutoka town
Mc Zipompapompa JF-Expert Member Dec 3, 2015 296 288 Jul 22, 2016 #6 SIM said: Ukikosa huko njoo ununue moshi mjini Shabaha mabogini kilomita 10 kutoka town Click to expand... Mabogini mavumbi tu, mafuriko, no proper road yani ni shida tu.
SIM said: Ukikosa huko njoo ununue moshi mjini Shabaha mabogini kilomita 10 kutoka town Click to expand... Mabogini mavumbi tu, mafuriko, no proper road yani ni shida tu.
julius junior Member May 22, 2014 97 35 Jul 24, 2016 Thread starter #7 Mc unashauri wapi pazuri panapouzwa kama Mabogini hapafai
S structuralist JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,231 906 Jul 24, 2016 #8 kiwanja kwa hiyo bei kwa moshi itakuwa ishu. aridhi moshi ni ghali sana mkuu. hapo labda uende.shabaha kama utabahatisha kwa hiyo bei maana nadhani pia bei zitakuwa zimepanda. Shabaha sio kubaya hivyo kama unaweza.tembelea ukaone kwanza.
kiwanja kwa hiyo bei kwa moshi itakuwa ishu. aridhi moshi ni ghali sana mkuu. hapo labda uende.shabaha kama utabahatisha kwa hiyo bei maana nadhani pia bei zitakuwa zimepanda. Shabaha sio kubaya hivyo kama unaweza.tembelea ukaone kwanza.
bulbulmunar Member Dec 17, 2015 56 14 Jul 24, 2016 #9 KAULIZIE....KWA WASOMALI....ILA VIWANJA HAVISHIKIKI
wax JF-Expert Member Jun 14, 2015 5,530 5,060 Jul 24, 2016 #10 bulbulmunar said: KAULIZIE....KWA WASOMALI....ILA VIWANJA HAVISHIKIKI Click to expand... Mi nauza kipo kwa wasomali
bulbulmunar said: KAULIZIE....KWA WASOMALI....ILA VIWANJA HAVISHIKIKI Click to expand... Mi nauza kipo kwa wasomali
Mwana Ilala JF-Expert Member Jan 29, 2013 1,287 483 Jul 24, 2016 #11 Njia panda Himo vipi huko nako!!????
julius junior Member May 22, 2014 97 35 Jul 25, 2016 Thread starter #12 Hyo kwa wasomali kama ni ile ya Bomang'ombe naomba unitafute tafadhali