Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,348 Reaction score 26,145 May 30, 2017 #1 Waungwana, ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kioo cha kifaa tajwa kimepata mushkeli. Wapi na kwa bei gani naweza kupata kioo cha kifaa husika? Naombeni msaada wenu wakuu
Waungwana, ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kioo cha kifaa tajwa kimepata mushkeli. Wapi na kwa bei gani naweza kupata kioo cha kifaa husika? Naombeni msaada wenu wakuu
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Jul 17, 2017 #2 Duka la sapna maeneo ya posta, kaangalie pale unaweza kupata na kwa bei nafuu mkuu.