Habarini wanaJF kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kunifanikishia kupata kioo kwa ajili ya Samsung A90 cha kwangu kimepasuka sasa naitaji kukibadilisha mwenye nacho naomba aje inbox
Habarini wanaJF kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kunifanikishia kupata kioo kwa ajili ya Samsung A90 cha kwangu kimepasuka sasa naitaji kukibadilisha mwenye nacho naomba aje inbox